Yanga kufungwa 2-0 na Rivers

Kina mashimo wapo wengi Sana Ila kumbukeni YANGA pia Wana mungu. Na wanamuomba kama mnavomuomba nyie.
Pia duΓ  mbaya mnazotuombea kumbukeni na Sisi tunawaombea pia na si mbali ni kesho Tu itaanza kujulikana ni duΓ  za Nani zimejibiwa haraka
 
Kipofu akiona mwezi,huna habari wenyewe wanafanya maandalizi ya kusherekea ubingwa wa Shirikisho.
 
Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
Sawa mkuu
 
Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
Usilete mautabiri yako ya kif.ala hapa , Kaa huko huko na uchawi wako

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi pokea ushauri Kwa timu iliyotolewa kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…