Nyie ndo mnauzi kwa propaganda zenu eti yanga ni ccm,. Watu tupo yanga kabla hatujui chadema na bado chadema imekuja tupo chadema na niviongozi,. Acheni upuzi wa kutugawa wanachama wa chadema kiushabiki,. Mbona nyie mwenyekiti wenu ni mbunge wa ccm
sobhuza loves this post of you.
Wale wazee wamehujumu timu ili Nchunga aonekane mbaya, na washabiki wa Yanga nao wamekubaliana na hilo, eti wanamlaumu Nchunga kwa kufungwa huku. Kusoma hawajui hata picha hawaoni?
Mtanisamehe mashabiki wa Yanga hawana tofauti na wachama wa CCM. I mean they never learn anything from their mistakes
wa Mei 7 mwaka 2012 leo ni Mei 8 2021, kuna balaa nawaambieni Wana Yanga wenzangWana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada hii:spy: