Yanga kufungwa 5-0 na Simba je wana Yanga wamejiunza nini?

Yanga kufungwa 5-0 na Simba je wana Yanga wamejiunza nini?

Nyie ndo mnauzi kwa propaganda zenu eti yanga ni ccm,. Watu tupo yanga kabla hatujui chadema na bado chadema imekuja tupo chadema na niviongozi,. Acheni upuzi wa kutugawa wanachama wa chadema kiushabiki,. Mbona nyie mwenyekiti wenu ni mbunge wa ccm

Hukukosea kujiita "UKWELI MTUPU".....wanaoshabihisha rangi za Dar Young Africans na za CCM wana akili isiyo safi kama "utupu" usiooshwa wiki.
Mwenyekiti wao mwenyewe ni Mbunge wa CCM.
 
sobhuza loves this post of you.
Wale wazee wamehujumu timu ili Nchunga aonekane mbaya, na washabiki wa Yanga nao wamekubaliana na hilo, eti wanamlaumu Nchunga kwa kufungwa huku. Kusoma hawajui hata picha hawaoni?

2+2 = 4 na 2 X 2 = 4 vilevile,hata kama Wazee wamehujumu team ni kwasababu gani? si kwasababu ya Nchunga,kwanini tusimlaumu,kwani yeye (Nchunga) ana maslahi gani pale Klabuni,mbona anakuwa mgumu sana kuachia nafasi kwa wengine,yeye mwenyewe na uanasheria wake hana uwezo hata wa kumlipa Mfagizi mmoja kati ya Wafagizi wa lile jengo kwa hela zake binafsi,matokeo yake kila siku anagombana na watu ambao wamekuwa wakijitolea kwa fedha zao binafsi kuhakikisha mambo yanakuwa sawa Klabuni,wote wamejiweka pembeni matokeo yake team njaa tupu,wachezaji njaa makocha njaa kwanini tusimlaumu,usituchukulie poa bwana kusoma tunajua na picha tunaziona vilevile,watu tuna hasira.
 
Uzi
Wana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada hii:spy:
wa Mei 7 mwaka 2012 leo ni Mei 8 2021, kuna balaa nawaambieni Wana Yanga wenzang
 
Back
Top Bottom