NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Habari za asubuhi wana jukwaa natumai mmeamka salama kabisa na tayari mmeshafanya maombi kwa Mwenyezi Mungu juu ya mahitaji binafsi.
Kichwa cha habari kinahitaji elimu ya darasa la nne tu kukielewa kwa ufasaha,utopolo fc msikurupuke kama mwanasheria wenu Patrick Simon bali mnapaswa muwe na busara ya hali ya juu kama Mzee Magoma ili muelewe nilichokiandika.
Kumbukeni pale jangwani wenye akili ni wawili tuu.