NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Rage apewe hashima yake yule Mzee,,pia mangungu apongezwe kwa kukataa kujiuzulu kwa shinikizo la wanachama wake kama Hawa,,Kuiongoza Simba ni rahisi sana ilimradi uwe na watu dizaini hii!Habari za asubuhi wana jukwaa natumai mmeamka salama kabisa na tayari mmeshafanya maombi kwa Mwenyezi Mungu juu ya mahitaji binafsi.
Kichwa cha habari kinahitaji elimu ya darasa la nne tu kukielewa kwa ufasaha,utopolo fc msikurupuke kama mwanasheria wenu Patrick Simon bali mnapaswa muwe na busara ya hali ya juu kama Mzee Magoma ili muelewe nilichokiandika.
Kumbukeni pale jangwani wenye akili ni wawili tuu.
'Ufahamu'ukimaliza kusoma unatakiwa ujibu kutoka na habari husikaRage apewe hashima yake yule Mzee,,pia mangungu apongezwe kwa kukataa kujiuzulu kwa shinikizo la wanachama wake kama Hawa,,Kuiongoza Simba ni rahisi sana ilimradi uwe na watu dizaini hii!