RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.Mnafarijiana sana baada ya kupoteza pole mmelowaaq
He! Yamekuwa hayo Tena!?Hebu pambanemi na hali yenu. Kambi ya Simba itakusaidia nini wewe!?Wewe limbukeni hunashabikia wachawi
Badilika kijana hizii sik zama za khchawi
Wewe kombe liko wapi msimu huu..
Hivi mliopoanza msimu mlienda wapi na wapi kuweka kambi??
Yanga anaamua kushinda kokoteInabidi timu zijiwekeze,kushinda kote,Yanga angeshinda Dar ubingwa ungekuwa ni wake,ushindi wa away unakuwa hauna maana kama haukupi kitu.
Yanga pia ina cha kujifunza kutoka kwa Simba kwa kuwa na uhakika wa kushinda mechi za nyumbani walau kwa 80%
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.Kuna U-TURN mpaka unajiuliza inawezekanaje?
Imagine kutoka kuwa wa kwanza kuleta kombe nchini mpaka kushinda ugenini. Sijui ni yale mafataki yapo vichwani?
Simba Hana chochote cha kujifunza kwa Yanga. Maana hizo KMC na Biashara za Uarabuni ni timu za kawaida mno. Ni USMA pekee ndio kidogo wanajulikana, hao wengine ni KMC na Biashara.Hapana mkuu... wajifunze kushinda ugenini Kwa waarabu
Sometimes mfiche ujinga wenu. Robertinho ana Muda Gani pale Simba. By the way kashampiga hiyo Nabi mara mbili.Mleteni robertinho ajifunze Kwa prof Nabi
Mmezinguka mwisho wa siku mmepigwa vidole hamna hata kombe nojaHe! Yamekuwa hayo Tena!?Hebu pambanemi na hali yenu. Kambi ya Simba itakusaidia nini wewe!?
Popote wapi? Mbona Dar ilinyukwa na USM Algers goli 2-1? Au Yanga ipi hiyo tena?"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU
Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,
Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti
1. π§π¨π‘ππ¦ππ [emoji1250]
2. ππ’π‘ππ’ [emoji1078]
3. ππ¨π¦ππ‘π[emoji1221]
4. π‘ππππ₯ππ [emoji1184]
5. πππππ₯ππ[emoji1026]
Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaΓ a!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa
#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPMView attachment 2645427
Ile mechi ilikuwa ni opportunity cost Kwa Yanga..... either ampige Simba .....then aje apigwe na riversSometimes mfiche ujinga wenu. Robertinho ana Muda Gani pale Simba. By the way kashampiga hiyo Nabi mara mbili.
Unakuwaga na liujinga flani hivi!Fumba macho tuombe!ππ"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU
Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,
Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti
1. π§π¨π‘ππ¦ππ [emoji1250]
2. ππ’π‘ππ’ [emoji1078]
3. ππ¨π¦ππ‘π[emoji1221]
4. π‘ππππ₯ππ [emoji1184]
5. πππππ₯ππ[emoji1026]
Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaΓ a!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa
#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPMView attachment 2645427
Anataka na kura zenu kwa chama chake.RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.
Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
ππππIjifunze kwa tumambo aliyoyafanya?Kweli utoto raha!Yaaah mkuu.... Tuiombee simba ijifunze Kwa wananchi
Hasira na matusi haziwezi kuondoa ukilaza wako katika soka wewe kanywe mbege tu ukalaleMshamba mama yako
Mwambie huyo mbwiga usiyejua tofauti ya CUF na CAF.Maendeleo hayana Chama mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaaa wanashinda na kuanza kuliaaa