Yanga: kuifundisha Simba jinsi ya kushinda popote

Mnafarijiana sana baada ya kupoteza pole mmelowaaq
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.

Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
 
Wewe limbukeni hunashabikia wachawi
Badilika kijana hizii sik zama za khchawi

Wewe kombe liko wapi msimu huu..
Hivi mliopoanza msimu mlienda wapi na wapi kuweka kambi??
He! Yamekuwa hayo Tena!?Hebu pambanemi na hali yenu. Kambi ya Simba itakusaidia nini wewe!?
 
Inabidi timu zijiwekeze,kushinda kote,Yanga angeshinda Dar ubingwa ungekuwa ni wake,ushindi wa away unakuwa hauna maana kama haukupi kitu.

Yanga pia ina cha kujifunza kutoka kwa Simba kwa kuwa na uhakika wa kushinda mechi za nyumbani walau kwa 80%
Yanga anaamua kushinda kokote
 
Kuna U-TURN mpaka unajiuliza inawezekanaje?

Imagine kutoka kuwa wa kwanza kuleta kombe nchini mpaka kushinda ugenini. Sijui ni yale mafataki yapo vichwani?
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.

Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
 
Hapana mkuu... wajifunze kushinda ugenini Kwa waarabu
Simba Hana chochote cha kujifunza kwa Yanga. Maana hizo KMC na Biashara za Uarabuni ni timu za kawaida mno. Ni USMA pekee ndio kidogo wanajulikana, hao wengine ni KMC na Biashara.
 
"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU

Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,

Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti

1. 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 [emoji1250]
2. 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢 [emoji1078]
3. 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜[emoji1221]
4. 𝗡𝗜𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 [emoji1184]
5. 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔[emoji1026]

Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaàa!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa

#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPMView attachment 2645427
Popote wapi? Mbona Dar ilinyukwa na USM Algers goli 2-1? Au Yanga ipi hiyo tena?
 
Sometimes mfiche ujinga wenu. Robertinho ana Muda Gani pale Simba. By the way kashampiga hiyo Nabi mara mbili.
Ile mechi ilikuwa ni opportunity cost Kwa Yanga..... either ampige Simba .....then aje apigwe na rivers

Au Yanga afungwe na Simba .....then aje ampige rivers......and u know what happened
 
"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU

Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,

Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti

1. 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 [emoji1250]
2. 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢 [emoji1078]
3. 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜[emoji1221]
4. 𝗡𝗜𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 [emoji1184]
5. 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔[emoji1026]

Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaàa!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa

#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPMView attachment 2645427
Unakuwaga na liujinga flani hivi!Fumba macho tuombe!🙏🙄
 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.

Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
Anataka na kura zenu kwa chama chake.
 
Back
Top Bottom