kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya Singida kufungwa na timu imara sana na hodari ya Yanga wachambuzi uchwara na wapenzi wa Simba wanahoji kwanini kocha Ouma alipanga vile na hakupanga vile wakimaanisha amepanga matokeo. Shida ni weledi au ushabiki wa simba na Yanga?
Simba walipofungwa 5-1 na Yanga hawakumhoji kocha wao bali wakamlaumu Manula, ni ukosefu wa weledi au unazi wa simba na Yanga?
Tabora ilipoifunga Yanga wachambuzi hawakuhoji kwanini Yanga ilimwacha nje mchezaji Kibwana Shomari na kocha kumchezesha Denis Nkane kucheza nafasi ya beki.