Yanga kuiga Simba Sc ni jambo zuri, ila kuweni makini

Aliye andika nae binaadam kwahy ni makosa ya kiuandishi tu
 
View attachment 1629367
Sio Press realese
Ni Press release
Nyie Mbumbumbu SC na Vyura FC pambaneni kwenye field siyo kwenye haya mambo ya kike ebo!!

Priority ya Mbumbumbu SC iwe kuizidi rekodi ya mataji ya ubingwa wa Tz inayoshikiliwa na Vyura FC huku wao Vyura FC priority yao iwe kuizidi ile ya Mbumbumbu SC kwenye mashindano ya CAF.
 
Nendeni hata kwa ras simba vyuo vya english viko kibao siyo mnatuletea kiswanglish
 
Mnazungumzia rekodi ambayo imekuwa historia hata watoto hawakumbuki ,mtaendelea kuzungumzia rekodi bla bla sijui field gani mnazungumzia ndo tunaenda kimataifa bado mpo dimbwani jangwani
 
Nyie Mbumbumbu SC na Vyura FC pambaneni kwenye field siyo kwenye haya mambo ya kike (ya mipasho) ebo!!

Priority ya Mbumbumbu SC iwe kuizidi rekodi ya mataji ya ubingwa wa Tz inayoshikiliwa na Vyura FC huku wao Vyura FC priority yao iwe kuizidi ile ya Mbumbumbu SC kwenye mashindano ya CAF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…