Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Sasa si uwaulize wao,Mpira wa bongo unamaajabu sana kunanini mpka yangu kuacha bus LAO na kupanda COASTER
utajiri wake ni kuwapiga nyau fclimeishiwa mafuta,si unajua kuwa basi lazima liwe full tenk au ujui kuwa jangwanii imejaa njaa na zikiiiii......jk invoice
Ninyi ingieni na Bajaji wala hatutawaulizaMpira wa bongo unamaajabu sana kunanini mpka yangu kuacha bus LAO na kupanda COASTER
Ushabiki wa bongo una maajabu sana,Mpira wa bongo unamaajabu sana kunanini mpka yangu kuacha bus LAO na kupanda COASTER
Mpira wa bongo unamaajabu sana kunanini mpka yangu kuacha bus LAO na kupanda COASTER
sana walikuwa wanaenda zanzibar kila ikikaribia mechi ya watani na wakawa wanaloga mvua ikinyesha tu wanashindaYanga wachawi sana hawa viumbe.
Unaonekana sio mkazi wa Dar,Hilo coster Yanga wamekuja nalo Mara kadhaa ndani ya msimu huu.Wewe tu hujui au sio mwanayangaMpira wa bongo unamaajabu sana kunanini mpka yangu kuacha bus LAO na kupanda COASTER