Yanga kuingia na Coaster na kuacha basi lao maana yake nini?

Yanga kuingia na Coaster na kuacha basi lao maana yake nini?

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Mpira wa Bongo una maajabu sana, kuna nini mpaka yanga kuacha bus lao na kupanda Coaster.

 
limeishiwa mafuta,si unajua kuwa basi lazima liwe full tenk au ujui kuwa jangwanii imejaa njaa na zikiiiii......jk invoice
 
je ni kosa kisheria

vp kama bus lao lina matatizo (umefanya tafiti kuona hali ya bus lao)

vp kama ni mbinu ya kuwatoa mchezoni (na mshapaniki)

vp mvua zimekata maana ndo mlikuwa mnajidaia mvua now zimepigwa pini.
 
Jiulize kwa nini rais huwa anaacha gari lake anapanda la wasaidizi wake...

Ni utaratibu wakiusalama zaidi kwenye nguvu zenu za giza


Mikiaa waleteeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtoa mada wewe ndio una akiri za kichawi ndio maana unafikiria uchawi
 
Mpira wa bongo unamaajabu sana kunanini mpka yangu kuacha bus LAO na kupanda COASTER
Unaonekana sio mkazi wa Dar,Hilo coster Yanga wamekuja nalo Mara kadhaa ndani ya msimu huu.Wewe tu hujui au sio mwanayanga
 
Back
Top Bottom