Yanga kuingia na Coaster na kuacha basi lao maana yake nini?

Yanga kuingia na Coaster na kuacha basi lao maana yake nini?

Sportpesa inabidi wawapige faini yanga kwa huu ujinga.

Watu wanawekeza pesa zao wao wanashindwa kuheshimu mikataba ya kibiashara.
 
Usitufokee sasa..

Umeshapanic tayari

Huo ndio mpango wao usiwapangie
 
Kila Coaster goli 2 jumla 4G.Ukiwa na timu mbovu hata uingie na treni kichapo kipo pale pale.
 
Back
Top Bottom