United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Umewapa tahadhari lakini watu wanajifanya hawaelewi ngoja siku aende akaache miguu ndio atakumbuka uzi wakoKwa vilaza kama wewe, hii comment niliitarajia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewapa tahadhari lakini watu wanajifanya hawaelewi ngoja siku aende akaache miguu ndio atakumbuka uzi wakoKwa vilaza kama wewe, hii comment niliitarajia!
Daah yaani SA ikawa na usalama kuliko Tanzania aisee...SA kituo cha Polisi nacho kinalindwa na kampuni binafsi maana polisi wapo busy na mambo yao wahuni kuteka kituo ni wakati wowote...Wezenu wanaingia Bure ila usalama wa mashabiki unazingatiwa sana na pia ni wastarabu sio kama nyiny vyura lazima mvunje mageti mwagie matope uwanja wa uhuru na bila kukupesa inawezekana Jana kuna watu wamevuta
nimekwambia usalama wa mashabiki uwanjani sizungumzi mim mambo ya mitani kama wew haya twambie wew toka mashabiki wa mamelod wameanza kuingia Bure ulisikia watu wangapi wamefariki kwa kunyagana kama Nyiny Maana Mechi ya Fainali mwaka jana kuna mashabiki walivunjika na Wengine wakavuta Na jana pia kuna watu wamevunja miguuDaah yaani SA ikawa na usalama kuliko Tanzania aisee...SA kituo cha Polisi nacho kinalindwa na kampuni binafsi maana polisi wapo busy na mambo yao wahuni kuteka kituo ni wakati wowote...
acha ushamba, nani kakwambia ni jukumu la Yanga kuhakikisha uwanjani kuna ulinzi na usalamaLeo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!
Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!
Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!
Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!
Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!
Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
Pole yao wanathiiiimbaaa!
Hapa ndipo kwenye point umenena vyemaZipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara
... 🗣️ "𝙆𝙒𝘼 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 𝙐𝘾𝙃𝘼𝙈𝘽𝙐𝙕𝙄 𝙐𝙈𝙀𝘽𝘼𝘿𝙄𝙇𝙄𝙆𝘼 𝙂𝙃𝘼𝙁𝙇𝘼 𝙈𝙉𝙊"Mi vyura itakuzodoa humu haitaki ukweli...
Mm nimeshangaa kwa sbb mlisema mtawafunga mamelod kono la nyani...hahhahha... 🗣️ "𝙆𝙒𝘼 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 𝙐𝘾𝙃𝘼𝙈𝘽𝙐𝙕𝙄 𝙐𝙈𝙀𝘽𝘼𝘿𝙄𝙇𝙄𝙆𝘼 𝙂𝙃𝘼𝙁𝙇𝘼 𝙈𝙉𝙊"
Wachambuzi na mashabiki waliokuwa wanaitisha Yanga wiki nzima kuwa itafungwa na Mamelodi goli nyingi, sasa hivi wamebadili Uchambuzi .. Wanachambua kuvunjwa kwa geti baada ya mashabiki wa Yanga SC kufurika na kuuzidi uwezo wa uwanja 😄.
.. ila watu wanakosa furaha kwa Mambo ya kipuuzi kabisa .. Sasa geti wewe linakuuma Nini? Walioharibu hawapo? Wameambiwq kutengeneza wakakata?. Mkiambiwa jiandae na mechi ya Cairo saiz mpo na Mageti... Ngoja mkapigwe Kono la nyani 😅
Endeleeni kudai mageti badala yakuiombea timu yenu... Mara paaa 5hizooo konooo....Mm nimeshangaa kwa sbb mlisema mtawafunga mamelod kono la nyani...hahhahha
Kila mtu ashinde aendako...Endeleeni kudai mageti badala yakuiombea timu yenu... Mara paaa 5hizooo konooo....
Wewe ni mshamba sababu ya umasikini wako!Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!
Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!
Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!
Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!
Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!
Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
kwanza mashabiki walibiwa kuingia mapema,tiketi zilikuwa za vip tu,huko kila kiti kina namba,watakosaje nafasi,wale wengine waliombwa kuwahiLeo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!
Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!
Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!
Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!
Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!
Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
Namuomba Mungu hii jamii yetu iache kuwa na mawazo ya kichawi kama weweLeo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!