Yanga kuingiza mashabiki uwanjani Bure ni ushamba, hamjifunzi madhara yake?

Nimesoma mpaka hapa

Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo

nikaishia hapa
 
Wezenu wanaingia Bure ila usalama wa mashabiki unazingatiwa sana na pia ni wastarabu sio kama nyiny vyura lazima mvunje mageti mwagie matope uwanja wa uhuru na bila kukupesa inawezekana Jana kuna watu wamevuta
Daah yaani SA ikawa na usalama kuliko Tanzania aisee...SA kituo cha Polisi nacho kinalindwa na kampuni binafsi maana polisi wapo busy na mambo yao wahuni kuteka kituo ni wakati wowote...
 
Daah yaani SA ikawa na usalama kuliko Tanzania aisee...SA kituo cha Polisi nacho kinalindwa na kampuni binafsi maana polisi wapo busy na mambo yao wahuni kuteka kituo ni wakati wowote...
nimekwambia usalama wa mashabiki uwanjani sizungumzi mim mambo ya mitani kama wew haya twambie wew toka mashabiki wa mamelod wameanza kuingia Bure ulisikia watu wangapi wamefariki kwa kunyagana kama Nyiny Maana Mechi ya Fainali mwaka jana kuna mashabiki walivunjika na Wengine wakavuta Na jana pia kuna watu wamevunja miguu
 
acha ushamba, nani kakwambia ni jukumu la Yanga kuhakikisha uwanjani kuna ulinzi na usalama
 
... πŸ—£οΈ "π™†π™’π˜Ό 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 π™π˜Ύπ™ƒπ˜Όπ™ˆπ˜½π™π™•π™„ π™π™ˆπ™€π˜½π˜Όπ˜Ώπ™„π™‡π™„π™†π˜Ό π™‚π™ƒπ˜Όπ™π™‡π˜Ό π™ˆπ™‰π™Š"

Wachambuzi na mashabiki waliokuwa wanaitisha Yanga wiki nzima kuwa itafungwa na Mamelodi goli nyingi, sasa hivi wamebadili Uchambuzi .. Wanachambua kuvunjwa kwa geti baada ya mashabiki wa Yanga SC kufurika na kuuzidi uwezo wa uwanja .πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mi vyura itakuzodoa humu haitaki ukweli...
... πŸ—£οΈ "π™†π™’π˜Ό 𝙆𝙒𝙀𝙇𝙄 π™π˜Ύπ™ƒπ˜Όπ™ˆπ˜½π™π™•π™„ π™π™ˆπ™€π˜½π˜Όπ˜Ώπ™„π™‡π™„π™†π˜Ό π™‚π™ƒπ˜Όπ™π™‡π˜Ό π™ˆπ™‰π™Š"

Wachambuzi na mashabiki waliokuwa wanaitisha Yanga wiki nzima kuwa itafungwa na Mamelodi goli nyingi, sasa hivi wamebadili Uchambuzi .. Wanachambua kuvunjwa kwa geti baada ya mashabiki wa Yanga SC kufurika na kuuzidi uwezo wa uwanja πŸ˜„.
.. ila watu wanakosa furaha kwa Mambo ya kipuuzi kabisa .. Sasa geti wewe linakuuma Nini? Walioharibu hawapo? Wameambiwq kutengeneza wakakata?. Mkiambiwa jiandae na mechi ya Cairo saiz mpo na Mageti... Ngoja mkapigwe Kono la nyani πŸ˜…
 
Mm nimeshangaa kwa sbb mlisema mtawafunga mamelod kono la nyani...hahhahha
 
Mm nimeshangaa kwa sbb mlisema mtawafunga mamelod kono la nyani...hahhahha
Endeleeni kudai mageti badala yakuiombea timu yenu... Mara paaa 5hizooo konooo....
 
Wewe ni mshamba sababu ya umasikini wako!
 
Wewe ni mshamba sababu ya umasikini wako!
Mshamba ni wewe na wenzio mnaoshadadia vya bure matokeo yake ni kama yalivyoonekana!
Umasikini unao zaidi wewe na ukoo wako, mnashindwa kulipa 5k mnasubiri hisani!
Kilaza mkubwa wewe!
 
kwanza mashabiki walibiwa kuingia mapema,tiketi zilikuwa za vip tu,huko kila kiti kina namba,watakosaje nafasi,wale wengine waliombwa kuwahi
 
Namuomba Mungu hii jamii yetu iache kuwa na mawazo ya kichawi kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…