Yanga kuizidi Simba points za CAF

Issue ipo hiviiii


simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Akili ya mpira nyinyi Mashabiki wa Yanga hamna aisee , leo hii kombe la shirikisho mnaliita la Wamama, wakati ndio lililowapandisha rank. 🀣🀣🀣
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Issue ipo hiviiii


simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Siyo 39 kwa 31 tena.
 
Mleta mada ngoja tumkalili username yake ili mwisho wa haya mashindano tuweke kumbukumbu sawa kwenye swala la point kuikuta simba msahau
 
Hakika tuwe na adabu ni simba iliyowezesha Tanzania kutoa timu 4 zishiriki haya mashindano kwa kuchangia point nyingi zaidi kuliko timu yeyote ile Tz
 
Simba Ina point 39 na Yanga wana 31. Wote Wakiingia Robo. Simba atakuwa na 49 na Yanga 46
 
Simba Ina point 39 na Yanga wana 31. Wote Wakiingia Robo. Simba atakuwa na 49 na Yanga 46
Kwasasa Simba ina point 28 huku Yanga ikiwa na point 24, point zimepungua kwasababu tayari mashindano mapya yameshaanza ya msimu wa 2024/2025 hivyo ranking inafanyika kwa kuchukua misimu minne nyuma huku zile vizidishio ( coefficient) zikiwa zimebadilika.

1) 2024/2025 ( coefficient ni 5) point ni 0 kwa timu zote zinazoshiriki mashindano kwavile hatua ya makundi hayajaisha bado.

2) 2023/2024 (coefficient ni 4) Simba ina point 3 na Yanga point 3 hapa wote wana point 12

3) 2022/2023 (coefficient ni 3) Simba ina point 3 huku Yanga ikiwa na point 4 hivyo Simba inakuwa na point 9 huku Yanga ikiwa na point 12

4) 2021/2022 (coefficient ni 2) Simba ina point 2 huku Yanga ikiwa na point 0 hivyo Simba wanakuwa na point 4 huku upande wa Yanga haina point.

5)2020/2021 (coefficients ni 1) Simba ina point 3 huku Yanga wakiwa hawana point.

Ukihesabu jumla ya point za Simba hadi sasa inakuwa 12+9+4+3= 28
Ukihesabu jumla ya point za Yanga hadi sasa ni 12+12=24

Kama timu zote mbili zitaingia robo fainali ina maana Yanga itafuna point 3 huku Simba kwavile yupo kwenye mashindano madogo itavuna point 2 na kufanya Yanga wapate point 15 huku Simba wakipata point 10

Hivyo kwa Yanga itakuwa ni 24+15= jumla point 39
Huku Simba itakuwa ni 28+10= jumla point 38
 
Simba Ina point 39 na Yanga wana 31. Wote Wakiingia Robo. Simba atakuwa na 49 na Yanga 46
Hizi akili za hesabu za 'tuki' na 'waki' zinapatikana mbumbumbu street tu (msimbazi), iko wazi kabisa Simba haina msuli wa kuingia makundi kombe la rede la wamama sembuse kutinga robo fainali, huku sisi uto itakuwa maajabu ya mpira kushindwa kutinga nusu fainali kombe la wanaume wa shoka tunaloshiriki.

Hapa mambo yashaharibika kichaka cha rank nacho kimefyekwa , wazee wa propaganda thimba guuuuvu moyaaa tafuteni kichaka kingine tuendelee utani wa jadi!!
 
Jaribu kuficha ujinga wako
 
Ndio hivyo mkuu....ukubwa wa pua...sio wingi wa kamasi
 
Ambapo hicho kitu hakiwezekan
 
Akili ya mpira nyinyi Mashabiki wa Yanga hamna aisee , leo hii kombe la shirikisho mnaliita la Wamama, wakati ndio lililowapandisha rank. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
According to kaduguda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…