Yanga kukata rufaa dhidi ya adhabu ya Dr Aucho

Yanga kukata rufaa dhidi ya adhabu ya Dr Aucho

uko sahihi ila yanga wana uliza kuna mchezaji aliwahi fanya utovu wa nidhamu akapewa njano hivyo hakuna adhabu nyingine, aucho kafanya faulo na kapewa adhabu asa ya nini tena kumfungia mbona yule hakufungiwa
Mwaka Jana Bangala alichezewa rafu ya red card na mchezaji wa Coast akapewa yellow Wala hakuadhibiwa na kamati why wachezaji wa Yanga wapewe double punishment? Mbumbumbu mwenzenu karia ashike adabu yake mbwa huyo
 
Wallace Karia na Bodi yake ya Ligi waache double standard.

Hata yule mwamuzi Emmanuel Mwandembwa usikute alifungiwa miezi 6 kwa sababu tu alishindwa kuzuia Yanga kuifunga timu ya Wallace Karia na yule Mguto nani sijui ambaye ni kiongozi wa Coastal Union, na pia Mwenyekiti wa hiyo Bodi ya Ligi.

Wanafanya figisu za wazi dhidi ya Yanga as if watakuwa madarakani milele. Hopeless kabisa. Cha kushangaza muazisha ugomvi, ambaye ni Ajib kaachwa!! Ili aendeleze utoto wake kwenye mechi zijazo za ligi.
 
[emoji851]
JamiiForums-312072181.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kosa la mwingine halifanyi kosa lako kuwa si kosa.
Aucho naye apunguze rafu
 
Back
Top Bottom