MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Kuna habari zinazagaa hapa Tanga muda huu kuwa Klabu ya YANGA huenda ikapata RUFAA Usiku huu Kupinga Ushindi wa SIMBA leo.
Sababu za Kupinga ni SIMBA kumchezesha CHAMA ktk Mchezo huo.
Ngoja tusubiri.
Sababu za Kupinga ni SIMBA kumchezesha CHAMA ktk Mchezo huo.
Ngoja tusubiri.