Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Sisemi kitu.Na simba kunyimwa penalty ya wazi, hilo unasemajeee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisemi kitu.Na simba kunyimwa penalty ya wazi, hilo unasemajeee?
Refa kashindwa kuumudu mchezo ameshindwa kutafsiri sheria ipasavyo kwa timu zote mbili yanga na simba,VAR waangalie mipira iliyokuwa inadakwa dakwa refa anapeta.
Wana cha kusema wakati wanefungwa mdomoMapema sana ngoja tusubiri Ali Kamwe na Priva wanasemaje.
Simba Hoyeeee 💪
Acheni kutuwangia, pitch ya mkwakwani ni ndogoSimba msimu huu ni mbaya kuliko uliopita
Akijibu ni mentionNa simba kunyimwa penalty ya wazi, hilo unasemajeee?
Wanakosea mnoRefa kashindwa kuumudu mchezo ameshindwa kutafsiri sheria ipasavyo kwa timu zote mbili yanga na simba,
Hawa marefa wanawake wakachezeshe simba queen na yanga princes huenda wanafaa huko
Haya tulizanaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisemi kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubiriiiAkijibu ni mention
Acha ufaraKwa mpira huu tulioucheza simba sioni faida ya kwenda nje ya nchi ni mpira mbovu mno kuwahi kuuona
Washasema timu bora imetolewa kwa kanuniMapema sana ngoja tusubiri Ali Kamwe na Priva wanasemaje.
Simba Hoyeeee [emoji123]