Yanga kukata rufaa dhidi ya fainal ya ngao ya hisani

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Kuna habari zinazagaa hapa Tanga muda huu kuwa Klabu ya YANGA huenda ikapata RUFAA Usiku huu Kupinga Ushindi wa SIMBA leo.

Sababu za Kupinga ni SIMBA kumchezesha CHAMA ktk Mchezo huo.

Ngoja tusubiri.
 
Kuna habari zinazagaa hapa Tanga muda huu kuwa Klabu ya YANGA huenda ikapata RUFAA Usiku huu Kupinga Ushindi wa SIMBA leo
Sababu za Kupinga ni SIMBA kumchezesha CHAMA ktk Mchezo huo.
Ngoja tusubiri.View attachment 2716573
sidhani kama simba wanaweza kukosea kiasi hicho kumchezesha chama,pili bahati haikuwa kwetu yanga tuache tu
 
Yani mnajifanya mna akili kuliko chama cha mpira na wengine wooooteeer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…