Yanga kukata rufaa dhidi ya fainal ya ngao ya hisani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
MAZUZU FC
 
Refa kashindwa kuumudu mchezo ameshindwa kutafsiri sheria ipasavyo kwa timu zote mbili yanga na simba,
Hawa marefa wanawake wakachezeshe simba queen na yanga princes huenda wanafaa huko
Wanakosea mno
 
Eti hakukuwa na offsides! Mliangalia magoli ya Chelsea na Liverpool yaliyokataliwa na VAR nyinyi? Kuotea kwa wachezaji wa Uto kulikuwa wazi kiasi kwamba unaweza kusema Mo Salah alikuwa nafuu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…