TFF ni tawi la simba, Yanga waende kushtaki FIFA, Simba wamezidi kubebwa
Hi inaitewa damage limitations
Hakuna mwana Yanga anayemtaka yule ki- chaa! Kinachotakiwa ni haki kutendeka! Mokofia na Avena wamezoea sans kucheza fauloKwani Africa hakuna mchezaji mwingine zaidi ya huyo Morrison? Kwanini Yanga wasiachane nae huyo mchezaji tu. Mchezaji kaishaonesha haitaki Yanga sasa yanini kumng'ang'ania?
Iache akili yako ipambqnue mambo. Kauli ya Yanga ni kuwadumaza uono wapenzi na mashabiki wao. KWA YALE MAELEZO YA KAMATI Yanga ina makosa makubwa ambayo wao wenyewe wanayafaham vyema. HIO NI DANGANYA TOTO