Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Ni loga nikuloge.Hiyo yanga walitaka kuua ule uchawi,yaonyesha nao wamestuka...na kizuri Manara anajua mipango mingi
Ukilaza?timu hadi leo haijapoteza unaongelea ukilaza Yanga?Utopolo kweli ni utopolo. Yaani unahalalisha ukilaza wa wachezaji kuwa wamelogwa.
Haikua Bahati game zote 3?kumbuka toka jamaa watolewe na orlando nguvu zote wakahamishia hukuHakuna uchawi bahati haikuwa yetu
Unbeaten....wanakuwaje wabovu?Litimu libovu, msisingizie wachawi
Ndivyo mpira ulivyo popote pale. Tatizo ni hii mentality kwamba lazima Yanga ishinde. Hakuna hali ya hivyo.Hakuna uchawi bahati haikuwa yetu
Nani anaongoza ligi? Tena bila kufungwa hata game mojaYanga kiwango hamna
Sasa hivi hakuna cha bahasha kila timu inapambana kuepuka kushuka daraja.Litimu libovu, msisingizie wachawi
Wengi hawataamini lakini ukweli ndio huu,
Hali ya kukosa mabao kwa Yanga leo imeingia katika mechi dhidi ya Tanzania Prison, kabla ya hapo zimekuwepo mechi kadhaa ambapo Yanga mbali ya kucheza vizuri na kupata nafasi mipira imekua haiingii golini,
Tukianza na mchezo baina ya Yanga na Simba washambuliaji wa Yanga wameshindwa nafasi za wazi kabisa kuingiza mpira wavuni, Mfano zile chance za Denis Nkane
Mechi na Jkt Ruvu pale Kigoma pia goli lilionekana zito mpira kuvuka na kuingia ndani ya nyavu, ikumbukwe siku ile Jesus Moroco alikosa nafasi mbili tatu za wazi,Fiston Mayele aligongesha bomba mara mbili na nafasi nyingine mpira alioupiga ukaenda nyavu ndogo
Mechi hii na Prison Mayele anashindwa kufunga nafasi za wazi ikiwemo penati, Faisal naye..Makambo eti anashindwa kuusukumia ndani mpira japo kwa kuugusa tu!
Ukichukulia ki kawaida utaona labda ni kawaida lakini ukifikiri deep utagundua hapo kuna mikono ya kishirikina tu ambapoo kuna watu ama kikundi cha watu hawapendi na hawataki Yanga iendelee kushinda game zake zilizobaki
Mayele si wa kiwango hicho na hili linajulikana.Yaani hadi unaona wachezaji wanapigwa butwaa!
Ila tunasema mwisho wa siku mchawi atajulikana.
Boss unamasikhara sana[emoji23]Alaa!! Mie nikajua nimeweka video ya uchawi wa yanga, au wameniroga mpaka mimi [emoji23][emoji1787]
Djuma shaban kafukia kitu katikati ya kiwanja, halafu kuna mzee anamwaga mwaga maji.
Yanga haikupiga shot on target hata moja, inakuwaje useme Denis Nkane alipata nafasi ya wazi? Krosi ni nafasi ya wazi ambayo mpira 'umekataa' kuingia wavuni?... mipira imekua haiingii golini... Tukianza na mchezo baina ya Yanga na Simba washambuliaji wa Yanga wameshindwa nafasi za wazi kabisa kuingiza mpira wavuni, Mfano zile chance za Denis Nkane
Bahasha zimetolewa sanaUnbeaten....wanakuwaje wabovu?
HakikaSasa hivi hakuna cha bahasha kila timu inapambana kuepuka kushuka daraja.
[emoji23][emoji1787][emoji23]Boss unamasikhara sana[emoji23]
Upepo umekata mkuuYanga kiwango hamna
Hiyo unbeaten ni ya mchongo , dhidi ya Namungo ni mchongo tu ndio uliowaokoa na kipigo.Ukilaza?timu hadi leo haijapoteza unaongelea ukilaza Yanga?