Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Hebu taja mkataba wa kesi ulikuwa unaisha lini na mechi gani alicheza mkataba ukiwa haujaishaWadau wa kandanda la Tanzania, naomba tujadili iwapo kitendo cha Yanga kumchezesha mchezaji halali wa Simba Hassan Kessy katika mechi za Ligi Kuu kilikuwa Halali au sio Halali? Na ni nani aliyeruhusu mchezaji Huyo kucheza pale TFF? Kutokana Na Hukumu iliyotolewa juzi ni Uthibitisho tosha kuwa haikuwa Halali TFF kumruhusu mchezaji huyo.Je kitendo cha Yanga kumchezesha wakati bado ana mkataba Na Simba adhabu yake ni nini? Naomba tujadili kuliokoa Soka Na Sheria za Usajili.
At least wewe ndio mgongo wazi msema kweli. Sheria zimevunjwa. Mnafunga magoli ya mikono yanakubaliwa.Sisi ndo timu ya taifa hakuna wa kutugusa na utaona mtapiga kelele weee mtatulia. Sheria kitu gani wewe zilikuwepo tu na zitavunjwa mkitaka ondokeni kwenye ligi
Tabia ya kike kulalama jibu post no 2 kwanza.At least wewe ndio mgongo wazi msema kweli. Sheria zimevunjwa. Mnafunga magoli ya mikono yanakubaliwa.
Mkuu kwenye maelezo yako si ungesema tu unataka Yanga wakatwe points kwenye mechi zote alizocheza kessy sio unatuandikia na kutuuliza Upumb.vu tu!!!Pilipili zinawasha pointi mtatema tu mnajifanya mkataba hamuujui? Mnajifanya mechi hamzikumbuki haya wakimataifa