Yanga kumchezesha Hassan Kessy mechi za ligi wakati mkataba haujaisha, sio kosa?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Wadau wa kandanda la Tanzania, naomba tujadili iwapo kitendo cha Yanga kumchezesha mchezaji halali wa Simba Hassan Kessy katika mechi za Ligi Kuu kilikuwa Halali au sio Halali? Na ni nani aliyeruhusu mchezaji Huyo kucheza pale TFF? Kutokana Na Hukumu iliyotolewa juzi ni Uthibitisho tosha kuwa haikuwa Halali TFF kumruhusu mchezaji huyo.Je kitendo cha Yanga kumchezesha wakati bado ana mkataba Na Simba adhabu yake ni nini? Naomba tujadili kuliokoa Soka Na Sheria za Usajili.
 
Hebu taja mkataba wa kesi ulikuwa unaisha lini na mechi gani alicheza mkataba ukiwa haujaisha
 
Sisi ndo timu ya taifa hakuna wa kutugusa na utaona mtapiga kelele weee mtatulia. Sheria kitu gani wewe zilikuwepo tu na zitavunjwa mkitaka ondokeni kwenye ligi
 
At least wewe ndio mgongo wazi msema kweli. Sheria zimevunjwa. Mnafunga magoli ya mikono yanakubaliwa.
 
Utakuja kurukia visivyorukiwa halafu sijui utaviweka wapi?
 
Mikia Mpira umewashinda mnaendeleza mipasho tu. Endeleeni kulalamika wenzenu wanawapiga bao
 
Pilipili zinawasha pointi mtatema tu mnajifanya mkataba hamuujui? Mnajifanya mechi hamzikumbuki haya wakimataifa
 
Mkuu kwenye maelezo yako si ungesema tu unataka Yanga wakatwe points kwenye mechi zote alizocheza kessy sio unatuandikia na kutuuliza Upumb.vu tu!!!
 
Back
Top Bottom