Yanga kumeanza kuchangamka. Huyu wa wapi huyu? Si kawaida

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hii si kawaida huyu dogo atakuwa ametumwa na Mikia. Yanga huwa hatuna mambo kama haya. Tunasubiria kusikia Hersi atasemaje juu ya jambo hili. Atupe maelekezo au kama si yeye basi manara.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo ni mwehu mmoja yuko kule TikTok muda tuu ameamua aje na staili ya mchome ila bahati mbaya hajui kitu coz huwezi uponda uongozi wenye mafanikio na ukaeleweka na ndio maana watu wanampotezea
 
Huyo ni mwehu mmoja yuko kule TikTok muda tuu ameamua aje na staili ya mchome ila bahati mbaya hajui kitu coz huwezi uponda uongozi wenye mafanikio na ukaeleweka na ndio maana watu wanampotezea
Eti eeeeeehhh! 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…