Anatafuta shida tuu huyu..!Magu anamuangaliana kuchekelea tu, ajiandae na TRA.
Kwa mwendo wa sasa, habari inahitaji uhakiki kama si "fake news".
Magu anamuangaliana kuchekelea tu, ajiandae na TRA.
Mshaanza kuweweseka sioSawa tunahitaji ushindani halali aambiwe biashara ya kununua mechi imepitwa na wakati
Hivi Yanga haiwezi pata kiongozi/mwenyekiti mwengine? Huyu jamaa aliomba kupumzika tena si mara moja, cha ajabu wenzake badala ya kutafuta mbinu za kuendeleza klabu hasa kipesa na timu kwa ujumla, wameng'ang'ana kumlazimisha aendelee kuwa mwenyekiti kisa upande wa Simba pana mdosi.
Umekosea kuitaja Simba!!!. Hapo tu ndo umeonekana chiziHivi Yanga haiwezi pata kiongozi/mwenyekiti mwengine? Huyu jamaa aliomba kupumzika tena si mara moja, cha ajabu wenzake badala ya kutafuta mbinu za kuendeleza klabu hasa kipesa na timu kwa ujumla, wameng'ang'ana kumlazimisha aendelee kuwa mwenyekiti kisa upande wa Simba pana mdosi.
Ndipo nakubaliana na ule wimbo usemao " Kama sio juhudi zako Nyerere, na uhuru tungepata wapi...?" Kweli bila juhudi binafsi za Nyerere Tanganyika yawezekana mpaka leo tusingepata uhuru.
Picha na maneno hayasadikiani.
Wale wale!
Magu anamuangaliana kuchekelea tu, ajiandae na TRA.