Yanga kumekuchaaaaassss

Yanga kumekuchaaaaassss

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,643
Watakaaa mbona!!!!.
FB_IMG_15347859626461265.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tunahitaji ushindani halali aambiwe biashara ya kununua mechi imepitwa na wakati
 
Hivi Yanga haiwezi pata kiongozi/mwenyekiti mwengine? Huyu jamaa aliomba kupumzika tena si mara moja, cha ajabu wenzake badala ya kutafuta mbinu za kuendeleza klabu hasa kipesa na timu kwa ujumla, wameng'ang'ana kumlazimisha aendelee kuwa mwenyekiti kisa upande wa Simba pana mdosi.
Ndipo nakubaliana na ule wimbo usemao " Kama sio juhudi zako Nyerere, na uhuru tungepata wapi...?" Kweli bila juhudi binafsi za Nyerere Tanganyika yawezekana mpaka leo tusingepata uhuru.
 
Umekosea kuitaja Simba!!!. Hapo tu ndo umeonekana chizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu anamuangaliana kuchekelea tu, ajiandae na TRA.

Ujue hata kama alishamsahau ila hizi kauli zitamfanya aone silaha na mikasa yote aliyppitia haijamtikisa ipasavyo, ataandaliwa dozi kubwa inayoweza kumnyamazisha kabisa.

Kuna kipindi kunyamaza ni jambo bora kabisa.
 
Back
Top Bottom