Yanga kumekuchaaaaassss

Ujue hata kama alishamsahau ila hizi kauli zitamfanya aone silaha na mikasa yote aliyppitia haijamtikisa ipasavyo, ataandaliwa dozi kubwa inayoweza kumnyamazisha kabisa.

Kuna kipindi kunyamaza ni jambo bora kabisa.
Kuna watu wachonganishi kabisa, Manji kwa utawala huu hawezi Kusema maneno ya vile. Wanamtaftia misukosuko kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndala Bhana! Wameamua Kujifariji Kwa Habari Fake! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…