logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Kuna watu wachonganishi kabisa, Manji kwa utawala huu hawezi Kusema maneno ya vile. Wanamtaftia misukosuko kabisa.Ujue hata kama alishamsahau ila hizi kauli zitamfanya aone silaha na mikasa yote aliyppitia haijamtikisa ipasavyo, ataandaliwa dozi kubwa inayoweza kumnyamazisha kabisa.
Kuna kipindi kunyamaza ni jambo bora kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app