ni vigumu sna kwa.Mungu kumbadilisha shetani,ni rahisi mno kwa shetani.kuwa danganya watu wa Mungu hahahahhahaahha..Bob Marley alisema time.will tell .Babu Pluijim ni fundi na angeifikisha Yanga mbali sanaa ila viongozi wetu na mashabiki wengi sio wavumilivu. Tangu siku ya kwanza kusikia zengwe la kumtoa babu na kumleta Lwanadamina nikajua mwisho wa vikombe na furaha Jangwani umeisha na muda wa vipigo, aibu na migogoro umewadia. Lwandamina aliifikisha fainali Zesco kwa sababu alizungukwa na watu wenye weledi wa soka kuanzia viongozi, wachezaji, na shabiki, sasa hapa Yanga kazungukwa na wababaishaji wengi wakiwemo viongozi, wachezaji na shabiki. Wachezaji wavivu na hawajitambui. Hawapendi mazoezi magumu, wanategemea ushirikina na propaganda za kuuza na kununua mechi.
ya kweli?Poleni watani,naipenda sana SIMBA SC lakini namkubali sana Pluijm.Nilisikitika sana kuona babu anaondolewa.
kuuza na ..........Babu Pluijim ni fundi na angeifikisha Yanga mbali sanaa ila viongozi wetu na mashabiki wengi sio wavumilivu. Tangu siku ya kwanza kusikia zengwe la kumtoa babu na kumleta Lwanadamina nikajua mwisho wa vikombe na furaha Jangwani umeisha na muda wa vipigo, aibu na migogoro umewadia. Lwandamina aliifikisha fainali Zesco kwa sababu alizungukwa na watu wenye weledi wa soka kuanzia viongozi, wachezaji, na shabiki, sasa hapa Yanga kazungukwa na wababaishaji wengi wakiwemo viongozi, wachezaji na shabiki. Wachezaji wavivu na hawajitambui. Hawapendi mazoezi magumu, wanategemea ushirikina na propaganda za kuuza na kununua mechi.