Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!!

Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni wazi mechi ijayo hatocheza.....bila kupepesa huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yenu pengine kuliko mchezaji yoyote ni pengo( kama unabisha, muulize gamondi, usiporidhika na majibu panda ndege mfuate nabi sauzi atakupa majibu )

Msimu wa hoja yangu ni kuwa huenda mechi ijayo yanga akapelekewa moto vilevile na ikawa mechi ngumu zaidi.....kwann??

1..pressure kubwa kwa wachezaji baada ya kupoteza mechi Vs Azam ( hawajazoea )

2..kumkosa wachezaji muhimu ( Aucho na baka )

3...kuwaza mechi ya club bingwa Vs Al hilal Omdurman ya Sudan

4...fitness na fatigue ya wachezaji...mfano: mwamnyeto mechi ijayo huwezi muamini coz mda wowote anatoa Boko

5...mwisho na muhimu: nilishawahi kusema hapa jf kuwa gamondi ilikuwa suala la muda TU watu kuelewa mbinu zake mkanitukana Sanaa....Sasa mnadhani hizi Moja Moja ni bahati mbaya??? Shauri yenu

Alafu jinsi mlivyo hamna akili eti mnajipa moyo sijui " hatutaki kushinda nyingi, kimoja TU kwa yoyote".....bila kujua timu yenu inashuka kwa Kasi kubwa

Bila kusita najua kituo kinachofuata ni kocha kumla kichwa....na Mimi kama metronidazole 400mg natamani sana hili litokee shenzi!!!

Haya mkakojoe mlale!
 
Back
Top Bottom