mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwa sababu alikua lulu Simba, hiyo siyo sababu ya kuwafanya wengine wasifanye maamuzi juu ya mchezaji?Ntibazokiza alifukuzwa Yanga kwa ajili ya nidhamu mbovu aliyoonyesha wakiwa Mwanzaa, lakini akaja kuwa lulu kwa simba
Mpira unataka matokeo tu ndugu yangu; Morrison alikuwa na nidhamu mbovu sana lakini anapokuwa uwanjani analeta matokea na timu zote Yanga na simba zilisajiri.Kwa sababu alikua lulu Simba, hiyo siyo sababu ya kuwafanya wengine wasifanye maamuzi juu ya mchezaji?
Unataka vilabu viwe mataka ya wachezaji.
Nidhamu ndiyo kila kitu. Mchezaji hata awe mzuri vipi, nidhamu ikiwa mbovu ni sahihi vilabu kuachana naye.Mpira unataka matokeo tu ndugu yangu; Morrison alikuwa na nidhamu mbovu sana lakini anapokuwa uwanjani analeta matokea na timu zote Yanga na simba zilisajiri.
Inategemea na level ya nidhamu. Kuna nidhamu ya kazini na nidhamu binafsi. Wachezaji wengi wana nidhamu nzuri wawapo mafunzoni na kwenye mechi (nidhamu ya kazini), lakini wawapo katika maisha yao binafsi wana nidhamu za hovyo sana (nidhamu binafsi). Timu hujali sana nidhamu za kazini siyo hizo za maisha ya wachezaji binafsi. Neymar ana nidhamu ya hovyo sana wakati mwingine anachanganya nidhamu binafsi na nidhamu kazini kwa kukubali red cards za kijinga lakini timu zinamvumiliaNidhamu ndiyo kila kitu. Mchezaji hata awe mzuri vipi, nidhamu ikiwa mbovu ni sahihi vilabu kuachana naye.
Morrison alikua ni msumbufu zaidi, hakuhatarisha umoja au malengo ya club
Wewe unaumia kitu Gani na wahusika ni wengine? Waliomtaka ndio watapata hasara Kama nidhamu yake ni mbovu na mshahara wanalipa wao sio wewe!Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
Kwani morisoni uko aliko achezi mpira?..Au mnataka muwe na mchezaji mtakatifu.Acheni watu watafute maisha.hayo mengine niyakawaida kwasababu mpira sio njia yakwenda peponi kwamba lazima mtu awe mtakatifu.Nidhamu ndiyo kila kitu. Mchezaji hata awe mzuri vipi, nidhamu ikiwa mbovu ni sahihi vilabu kuachana naye.
Morrison alikua ni msumbufu zaidi, hakuhatarisha umoja au malengo ya club
JItahidi uwe unasoma na kuelewaKwani morisoni uko aliko achezi mpira?..Au mnataka muwe na mchezaji mtakatifu.Acheni watu watafute maisha.hayo mengine niyakawaida kwasababu mpira sio njia yakwenda peponi kwamba lazima mtu awe mtakatifu.