Habari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
Kama alishindwa timu ndogo ataweza timu kubwa....
Umepuyanga na haujui lolote..bora ungekaa kimya uwaachie wana yanga wenyewe..alafu sidhani kama unamfahamu manji vizuri..kesho angalia kitacho tokea pale..manji ndie anaeenda kupiga watu chini na sio yeye kupokwa timu..Habari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
Na viwanda pia!MO alishindwa Singida United,African Lyon simba NATO atachemsha.Mashamba ya katani,chai kayashindwa
***Habari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
Manji hataki kupingwa wala kuhojiwa kwny maswala muhimu yeye anataka kila jambo akifanya wanajagwan mseme ndioUmepuyanga na haujui lolote..bora ungekaa kimya uwaachie wana yanga wenyewe..alafu sidhani kama unamfahamu manji vizuri..kesho angalia kitacho tokea pale..manji ndie anaeenda kupiga watu chini na sio yeye kupokwa timu..
Habari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Manji mjanja sana kashakujua kuna matajiri walikuwa tayari kununua hisa yanga so yeye alichofanya ni kuchange gia angani hapana chezea muhindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji115] yaani kisoma hapo juu hadi mbavu zinauma
Huyo bilionea ni nani vile hahhaha bilioni 50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakodi timu kama lori la mchanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]