Habari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
Huyo tajiri mwingine ni Manji....msitufanye kama sisi hatuna akili vile...