Yanga kung’oa Kocha Singida na benchi zima la ufundi

Yanga kung’oa Kocha Singida na benchi zima la ufundi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic,

Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi.

Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.

IMG_2665.jpeg
 
Na ile kauli ya Tunashinda kirahisi imetuchefua Uto hapa Twiga
 
Katolewa Branch Office ya Singida kapelekwa Main Office ya Gongowazi .
Katolewa kwa Bakari Ali kapelekwa kwa Beka Ali.
 
Kapata offer nono mpira biashara mkuu....
mbona hamjauza KiAZi Z na Mizize!?, hii ni wazi kwamba uongozi uliona kabisa masiku yajayo ain't no better Young Africans under thaidi rama as the head coach.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom