mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Hujui hata namna points zinavyopatikana..Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu.
Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya Caf, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa...
Wakati ukijisifia kutoka nafasi ya 78 hadi 28Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu.
Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya Caf, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa...
Kongole Kwa kuliona hili mkuuNi mwenye chuki binafsi tu ndio anaweza kupinga, ila kasi ya mafanikio ya Yanga ni kubwa sana[emoji122][emoji122]
Haya ndio mapovu niliyoyaruhusu[emoji1787][emoji1787]Hujui hata namna points zinavyopatikana..
Jiulize, pamoja na kuflop kwa Al Ahly kwa nini bado yeye ndiye namba moja kwa Afrika? Na itachukua miaka mingi yeye kushuka, kwa sababu alishajijengea points nyingi hapo awali..
Amka utakojoa kitandaniYanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Kupanda nafasi 47 si jambo dogo tena ndani ya Msimu mmoja ambao bado haujatamatikaBaada ya kuhangaika kwa muda mrefu hatimae mmepata pa kusemea,wewe utopolo hata mkichukua ubingwa usitegemee kama utafika hata tano bora.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23]Amka utakojoa kitandani
Mkuu mi nazungumzia hii rekodi ya kupanda Kwa nafsi 47 ndani ya Msimu mmoja.. Al Ahly yupo nafas ya 1 mbona hawaja comment humu?Wakati ukijisifia kutoka nafasi ya 78 ha 28
Simba ipo nafasi ya 8
Wanajikongoja kwa mwendo wa kobeKuna timu fulani inapanda mwendo wa kinyonga na bado inapiga keleleeee[emoji23][emoji23]
Hivi Al Ahly wapo humu ndani na huniambiagi? π π πMkuu mi nazungumzia hii rekodi ya kupanda Kwa nafsi 47 ndani ya Msimu mmoja.. Al Ahly yupo nafas ya 1 mbona hawaja comment humu?
Angalia nafasi ya simba kabla ya kuingia makundi 2018 alikuwa nafasi ya ngapi?na alipanda hadi nafasi ya ngapi? Tatizo lenu mihemko imezidi.Kupanda nafasi 47 si jambo dogo tena ndani ya Msimu mmoja ambao bado haujatamatika
Wivu mbaya sana, kwaio wewe umeumizwa sana na Yanga kupanda nafasi 47??Angalia nafasi ya simba kabla ya kuingia makundi 2018 alikuwa nafasi ya ngapi?na alipanda hadi nafasi ya ngapi? Tatizo lenu mihemko imezidi.
Na ndio maana juzi mmejitoa ufahamu mnasema yanga ndio timu ya kwanza kwa timu za Tanzania kuongoza makundi.Mmesahau simba aliongoza kundi lililokuwa na bingwa mtetezi Al Ahly na Al Ahly huyohuyo ndie aliyebeba ubingwa msimu ule.
Nyie mmeongoza kundi ambalo mmeikuta mazembe ipo ICU[emoji3][emoji3][emoji3]