mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.
Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Povu ruksaa
Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Povu ruksaa