figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kwa wasio fahamu Msukuma Hamisa Hassan Mobetto, alizaliwa alizaliwa Mwanza, Tanzania, Desemba 10, 1994. Ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo
Kumbuka Hamisa ni rafiki Mkubwa wa Aziz Ki japo yanga wanadai ni shemeji yao, mimi sina hizo taarifa. Ninachojua Hamisa ndo alipiga simu moja tu na kusema kwa sauti ya mvuto, "Kama kweli unanipenda usiondoke Yanga. Do you love me? '. Mwisho wa kunukuu