Yanga kupinga CAF /FIFA penalt za Mamelod

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Baada ya Mechi kuchezwa kwa dakika 120 bila kufungana ilifika hatua ya Kupiga PENALT 5 kila TIMU.
Katika Hatua hiyo MAMELODI walipata Penalt 3 na kukosa 2 na YANGA walipata Penalt 2 na kukosa 3
na kuifanya MAMELODI kutinga NUSU FAINAL.

Je kwa Matokeo hayo ya kukosa Penalt kuna Uwezekano wa YANGA kuandika Tena barua ya kupinga PENALT za MAMELODI
 
Dakika 120 ?
 
Ujnga ujinga na roho za kimaskini tu ndivyo vinawatesa Kolowizards sababu hawakutegemea kabisa Yanga SC ingewachachafya Masambwanda kisoka mbali na mapungufu ya 3 key players wa kikosi cha kwanza.

Ndiyomaana hawazungumzii kabisa kilichowapata kwa mafarao robo fainali CAFCL 2024 utadhani walikuwa wanacheza see saw [emoji38]
Screenshot_2024-04-07-16-00-31-66_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
 
Back
Top Bottom