Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Baada ya Mechi kuchezwa kwa dakika 120 bila kufungana ilifika hatua ya Kupiga PENALT 5 kila TIMU.
Katika Hatua hiyo MAMELODI walipata Penalt 3 na kukosa 2 na YANGA walipata Penalt 2 na kukosa 3
na kuifanya MAMELODI kutinga NUSU FAINAL.
Je kwa Matokeo hayo ya kukosa Penalt kuna Uwezekano wa YANGA kuandika Tena barua ya kupinga PENALT za MAMELODI