Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Dakika 120 ?Baada ya Mechi kuchezwa kwa dakika 120 bila kufungana ilifika hatua ya Kupiga PENALT 5 kila TIMU.
Katika Hatua hiyo MAMELODI walipata Penalt 3 na kukosa 2 na YANGA walipata Penalt 2 na kukosa 3
na kuifanya MAMELODI kutinga NUSU FAINAL.
Je kwa Matokeo hayo ya kukosa Penalt kuna Uwezekano wa YANGA kuandika Tena barua ya kupinga PENALT za MAMELODI
Ujnga ujinga na roho za kimaskini tu ndivyo vinawatesa Kolowizards sababu hawakutegemea kabisa Yanga SC ingewachachafya Masambwanda kisoka mbali na mapungufu ya 3 key players wa kikosi cha kwanza.Baada ya Mechi kuchezwa kwa dakika 120 bila kufungana ilifika hatua ya Kupiga PENALT 5 kila TIMU.