Funika bovu mpaka makolo wachanganyikiweYaaah mkuu.....litadanyika gwaride hatari
Makolo wamesha changanyikiwa muda mrefu, mtu mwenye akili timamu hawezi fananisha abiola cup na CAF confederation cupFunika bovu mpaka makolo wachanganyikiwe
๐๐ฎMakolo wamesha changanyikiwa muda mrefu, mtu mwenye akili timamu hawezi fananisha abiola cup na CAF confederation cup
Hivi ndio kuchanganyikiwa๐๐ฎ
๐๐ฎHivi ndio kuchanganyikiwa
AahaaaaaaPamoja na wachambuzi wao wa mchongo [emoji1][emoji1]
Ndiyo pekee mliokuwa nao kwenye ligi hiyo? Mbeya City wapuuzi sana!Funika bovu mpaka makolo wachanganyikiwe
AhaaaaaNdiyo pekee mliokuwa nao kwenye ligi hiyo? Mbeya City wapuuzi sana!
OyeeeeeeYanga oyeee