Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funika bovu mpaka makolo wachanganyikiweYaaah mkuu.....litadanyika gwaride hatari
Makolo wamesha changanyikiwa muda mrefu, mtu mwenye akili timamu hawezi fananisha abiola cup na CAF confederation cupFunika bovu mpaka makolo wachanganyikiwe
🗑🚮Makolo wamesha changanyikiwa muda mrefu, mtu mwenye akili timamu hawezi fananisha abiola cup na CAF confederation cup
Hivi ndio kuchanganyikiwa
🗑🚮Hivi ndio kuchanganyikiwa
AahaaaaaaPamoja na wachambuzi wao wa mchongo [emoji1][emoji1]
Ndiyo pekee mliokuwa nao kwenye ligi hiyo? Mbeya City wapuuzi sana!Funika bovu mpaka makolo wachanganyikiwe
AhaaaaaNdiyo pekee mliokuwa nao kwenye ligi hiyo? Mbeya City wapuuzi sana!
OyeeeeeeYanga oyeee