Wanadilishe mbinu hiyo imeshazoeleka imekuwa kero na hakuna watu watakao jaa tena
Kumbe wazungu bado washamba sana aisee, hii ni juzi Belgium.Wanadilishe mbinu hiyo imeshazoeleka imekuwa kero na hakuna watu watakao jaa tena
Msisahau kuvaa medali zenu za CAFCC....Yaaah mkuu.....litadanyika gwaride hatari
Ambaye anabisha hilo, hayupo sawa sawa!Imagine ni kikosi Cha 3 kile
sisi guvu moja lini haya mambo jamani???π¨πππ‘ππ π§π’ π§ππ‘πππ‘ππ
Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kulipokea Basi lao Kutoka nchini Uganda siku ya ijumaa kwa ajili shughuli maalumu la kulitembeza "PARADE" kombe lao la Nbc.
#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko π‘π’
View attachment 2648918
Tukishinda Tanga,litafanyika gwaride jingine balaaKwa nini mnafanya parade kabla ya kwenda Tanga au hamna uhakika wa ushindi kule? Kwa jinsi mlivyoibana ratiba ambayo tayari ilikuwa imebana ni wazi mna wasiwasi mkubwa wa ushindi.