Yanga kupokelewa kwa mbwembwe

kilimbamula

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,792
Reaction score
853
Wapenzi wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi kwenda kuilaki timu yao pindi itakapowasili nchini kutokea Ghana.

Katika mchezo wa jana Yanga ilipoteza kwa kutandikwa bao 3-1 na timu ya vijana ya Medeama.

Shabiki Juma Hamisi wa tawi la Yanga la Temeke amesema ni busara kwa wapenzi na wanachama kujitokeza kwa wingi ili kuwapa morali wachezaji. "Tunaweza kusonga mbele bado tunayo nafasi aliasema Bw Hamisi".

Kama mtani wao, yangu macho maana hizo hesabu ni ngumu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] KIMA WA TAIFA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…