Yanga kuporomoka na kufa baada ya miaka 10

Kwa hiyo namba moja naona hayo ni mambo ya mpito tu bana na sio ya kufanya Yanga ife. Na hata hiyo namba mbili itakuja baada ya moja kuwepo.

Kwa mbaali nimejikuta nawaza tu Mikia bila Yanga maisha yenu yatakuwaje. Maana sisi ndio tunawapaga vidomo domo huko mtaani.
 
Hii post kuna watu wataipuuza na kutoa povu lakini ina uhalisia mkubwa. Mtoa post ametoa tahadhar nzuri tu, hasa kwenye upande wa kuwa na wapenzi wengi. Simba kwa sasa ina wapenzi wengi kuliko yanga. Najua kuna watakaobisha ila hainisumbui. Ukifanya utafiti, tangu tuingie karne ya 21, Simba imeifunga sana yanga na washabiki wake wako nyuma ya timu pamoja na kufanya vibaya. Simba haikuchukua ubingwa misimu minne lakini bado imefanikiwa kuongeza wapenzi wengi. Na ujio wa manara ndio umeongezea kuvuna washabiki zaidi kutoka kwa wanawake na watoto. Na wakiendelea kusajili wachezaji wakali na wenye mbwembwe, yanga itakuwa kama Liverpool isipojipanga! Na kinachowaua zaidi, hawataki kukubali kuwa timu yao haikosawa. Wakiendelea na hizi akili za kijinga za timu ya wananchi huku hakuna maendeleo yoyote. Ijiandae kuwa Liverpool ya bongo kwa kushabikiwa na vibabu! Sasa hivi ushindi wa yanga kwa Simba ni sare! Jipangeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi manara ameongezaje mashabiki wa simba? kuna watanzania wangapi wako kwenye mitandao ya kijamii?
 
Wre utakuwa unafikiria kupitia kile kiungo Alichokisema Masabuli si bure
 
Endelea kujidanganya,hao wapenzi walikuwa wapi kuisaidia simba miaka kama mitano ya msoto? Yanga Saiz inaendeshwa na nguvu ya umma kila mkoa wanapoenda,kujaza uwanja wa Taifa siyo conclusion ya Mikia kuwa wengi
 
Leo Kuna timu zimebakisha game 10 ,simba ana 21,halafu jitu linaongea utumbo wa nguruwe hapa
 
Acha kwanza huo mfumo wa mikia ufanye kazi japo miaka michache ndiyo uje na hizi hadithi.
Utaishia Yanga itakuwepo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…