Yanga Kushusha Big Player saa 6:1 Usiku

Yanga Kushusha Big Player saa 6:1 Usiku

Joined
Dec 17, 2019
Posts
19
Reaction score
41
Kaa tayari kwa Big Prayer Je ni Aziz K?
IMG_1298.jpg
 
Yule mlimvalisha kijora, mkaona mje na hii ku catch attentions za wananchi
 
Mambo ya hovyo hovyo!
Unaona mambo ya hovyo uhakika nikuwa mbumbumbu fc hawatalala mbaka wafahamu uyo ni nani.
kama msemaji wa mbumbumbu fc angekua ana jitokeza ukumbi Fulani Ili kutangaza izi sajili, namna anavyo wapamba wachezaji ambo mbaka Sasa wanaonekana hawana viwango angekua amesha tandikwa makofi mda mrefu sana.
 
Makolo Makolo Makolo Nimewaita Mara Tatu, Kwa Wale Wachezaji Wenu Walioletwa Na Maporomoko Ya Maji Msimu Ujao Msije Mkafariki Msiba Eheee! [emoji23]
 
Utopoloniani mmebakia kutangaza wachezaji usiku kama wanga vile [emoji81][emoji81]
 
Utopolo ni utopolo tu . yaani unatangaza mchezaji usiku wa manane tumelala na wak..e zetu mnatangaza mchezaji
 
Mtu alikuwa anacheza ndondo cup kwa zaidi ya miezi sita unafikiri kuna kitu tena hapo.
 
Wazee wakuchukua wastaafu na wachezaji wa mkopo kutoka tp mazembe.
 
Back
Top Bottom