kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Yanga Ina watu wenye level mbalimbali za uelewa. Tunajuwa kuwa hii ni janja ya kutuliza joto tu la fei kuondoka kizembe. Tunajuwa kuwa Kuna watu watavuta mkwanja kutuliza mambo ili Fei asepe.
Ndio maana hakuna mtu anaehangaika kujua nani alitoa 112m kwa Fei kuvunjia mkataba. Account ipi imehamisha pesa kwenda Yanga. Inaonyesha kuwa Fei Yuko sahihi kwa mujibu wa mkataba.
Ndio maana hakuna mtu anaehangaika kujua nani alitoa 112m kwa Fei kuvunjia mkataba. Account ipi imehamisha pesa kwenda Yanga. Inaonyesha kuwa Fei Yuko sahihi kwa mujibu wa mkataba.