Ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Azam kuwauza wachezaji hao (Akamiko na Kipre), hata Eng Hersi analifahamu hilo. Yaani hii ni kama vile wamewaomba Azam wasimchukue Fei kwa bei ya 112m tu. Hadith za Bobos na Miquisonie ni kama vile zimeyeyuka yeyuuuu sasa ni akam9iko na Kipre. Jiulize ni kwanini akamiko na kipre ni baada ya fei kulimwaga?Mleta Mada unaonyesha jinsi unavyo tapatapa, Kwa mujibu wa andiko lako Fei amevunja mkataba yupo huru na kwasasa Yanga hawana Chao kutokana na uzembe waliofanya.
Sasa kuna ubaya gani Kwa ao viongozi kuandika barua Kwa Azam ya kuwataka Kipre na Akaminko wakati wanahitaji kuimarisha timu ya Yanga kutokana na Mapungufu yaliyo jitokeza?
NB: Mkataba wa Fei na Yanga sio Kuni kwamba yoyote anaweza akavunja[emoji3][emoji3]
Kama yuko sahihi ameshindwa nini kutangazwa? Si wamtangaze kuwa ni mchezaji wa Azam wameshindwa nini, msiwe mnakurupuka kama mambumbumbu aiseeYanga Ina watu wenye level mbalimbali za uelewa. Tunajuwa kuwa hii ni janja ya kutuliza joto tu la fei kuondoka kizembe. Tunajuwa kuwa Kuna watu watavuta mkwanja kutuliza mambo ili Fei asepe.
Ndio maana hakuna mtu anaehangaika kujua nani alitoa 112m kwa Fei kuvunjia mkataba. Account ipi imehamisha pesa kwenda Yanga. Inaonyesha kuwa Fei Yuko sahihi kwa mujibu wa mkataba.
Mbona anaemrubuni hashitakiwi? Sheria inakataza kuongea au kufanya mawasiliano na mchezaji wa timu nyingine mwenye mkataba, mbona aliyelipa 112m hatafutwi na takukuru kama hamumjui?Kama yuko sahihi ameshindwa nini kutangazwa? Si wamtangaze kuwa ni mchezaji wa Azam wameshindwa nini, msiwe mnakurupuka kama mambumbumbu aisee