Yanga kutoka kikosi hatari cha bilioni 3 mpaka kulilia penati!!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001



Habari za Yanga kusajiri kikosi tishio zilivuma sana. Maelfu ya mashabiki wakavamia airport kupokea professional players. Msemaji wao akaitangazia dunia wamesajiri kikosi cha bilioni 3.

Najaribu kujiuliza kutoka kote huko mpaka kulilia penati dhidi ya Kagera Sukari.

Your browser is not able to display this video.



Next game, Mtibwa nayo ni sukari
 
Hahahaha next week tena na sukari
 
Inawezekana wewe ukawa ni Mtanzania anayeumizwa zaidi na maendeleo ya Yanga.
 
Kwanza zile Bilion 20 mlipewa??

Mwamedi mjanja Sana
 
Hawa wajinga watavaa vijola hadi ligi inakwisha
 
Siku moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Mtibwa,nashauri almashauri ya jiji la Dar waondoe mawe kuzunguka mitaa yote ya Jangwani,Faru,Twiga,Simba,Congo n,k.

Baada ya iyo mechi kupoteza najua apata kalika pale Jangwani.
Mungu ibariki Mtibwa Sugar.
Mungu ibariki Morogoro.
 
Tatizo ni kwamba Utopolo walibeba matumaini makubwa kuzidi uwezo wa Timu yao sasa wanaishia kulialia
 
Tatizo ni kwamba Utopolo walibeba matumaini makubwa kuzidi uwezo wa Timu yao sasa wanaishia kulialia
Kama matumaini yenyewe unayabeba kupitia kwa mchezaji Kama Sarpong hapo si matumaini hewa tu hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…